Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiporo cha wali na maharage
Ni hiyo tu hamna ubishi labda kisamvu na kambale wanafukuziaSi ni wali mahagare?
Do we need to urge about this?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mangi peleka huyo mke cooking class..Hapa kuna mke kweli au nimpige tu chini mapema kabla sijamweka ndani?
View attachment 1985269
Aise inabidi tu kufanya hivyo mangi.[emoji23][emoji23][emoji23]Mangi peleka huyo mke cooking class..
Mi mbona nkipika hazitoki hivi. Zinakua laini lakini naona hizi ni zaidi.ZinavutiaWewe unaweza, hongera.
![]()
Kuunguza ni bahati mbaya ambayo humkuta yeyote.Hapa kuna mke kweli au nimpige tu chini mapema kabla sijamweka ndani?
View attachment 1985269
Hapa kuna mke kweli au nimpige tu chini mapema kabla sijamweka ndani?
View attachment 1985269
Kwani teflon haiunguzi rafiki?Mnunulie non stick