Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamu kunoga[emoji1787][emoji1787][emoji39]Pakua weka kwenye sahani kwanini unakula kwenye sufuria?
Aisee nimetamaniiiii[emoji39]
Duuuuh!, Hii noma. Vyote ni vitu hatarishi [emoji1787][emoji1787]
Mlo wa kutamanisha.Ugali + Dagaa mixture bamia na nyanya chungu.
Mchicha wa kusteam [emoji11][emoji11][emoji11][emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 794793
Karibu tusaidiane kutoa mbeguToa mbegu za ndimu mwenye rosti hiyo au utazichambulia mdomoni?
Duh!Karibu tusaidiane kutoa mbegu
Lakn mwenzio huzitafuna