TunawakeraaaaaaaaaaWabongo mnapenda kula kula tuu. Laiti mngekuwa na hii bidii ya kulakula kwenye kufanya kazi tungekuwa mbali sana kiuchumi.
Lusungo Laki Si Pesa
Mh! Kwaherini..😃Mike Niko hapa
View attachment 1991980
Bro umetisha
Wenzio tumefanya kazi siku 6 mfululizoNdugu Zangu Tuchape Kazi
Bwana Bure Hayupo
Mkuu mchana huu unaishije humo au ndo nisikaliliMike Niko hapa
View attachment 1991980
Kawaida tu just eating healthyBro umetisha
Yalibaki asubuhi mpwaMkuu mchana huu unaishije humo au ndo nisikalili
Kuna maandaz pembeni au ndo humu tu!? Unashiba lakini
Huwa nikiwa Dar nakuwa sinza, naagiza hiki chakula kinifikie nilipo, worth the wait and money kwa kweli, imagine mtu unalipia elfu tano au 8 ya usafiri tu.
Salad na source yao ni tamu balaa.
DahMie nipo humu ndo kinatoka hapa View attachment 1991978