Uzi wa vyakula tu

Sawa. Ila "mayonaiz"
[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] kwani mkuu ukila mayonaiz unahisi kama unakula nini?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Unapata shape kama ya miss natafuta [emoji23] [emoji23]
 
Ila huu Uzi nimeamini watu wasemayo kwamba wanaume wanajipenda na ni wachoyo sana kwenye kula, yaani Uzi umejaa wanaume tu wakipost vyakula vizuri na wengi sana wakionekana wako vinakouzwa hivo vyakula na sio nyumbani kwa wife.. Hapo unakuta wife anashindia ugali na matembere mwanaume nje anapiga mbuzi choma nusu na mazagazaga kibao[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume Mungu anawazoom..
 
Ww unampikia yule jamaa vzr?
 
Aaaah mbona humu wanawake wapo wengi wakiongozwa na missyrose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…