Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hahaha hiyo mimi sijui mangi ila kweli halikosekani tikiti na papai milo yangu yote nikiwa home. Asubuhi, mchana na usiku.Tikiti maji na mbegu zake ni dawa kubwa sana ya kuendelea kufanya mambo yawe yente down there.
Naliona halikosekanagi kwenye menu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app