Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hahaha hiyo mimi sijui mangi ila kweli halikosekani tikiti na papai milo yangu yote nikiwa home. Asubuhi, mchana na usiku.Tikiti maji na mbegu zake ni dawa kubwa sana ya kuendelea kufanya mambo yawe yente down there.
Naliona halikosekanagi kwenye menu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wachaga mpo vizuri eeeh!Tikiti maji na mbegu zake ni dawa kubwa sana ya kuendelea kufanya mambo yawe yente down there.
Naliona halikosekanagi kwenye menu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe leo Jumapili!
Weekend hiyo Mdogo Mdogo
Ndiyo boss[emoji4]Kumbe leo Jumapili!
Bila shaka unakorofisha mwenyewe, au sio?
Ukoroooofiiiii huo! tunaomba recipe hasa uliyotumia kwenye ma
Usiwazeeee, nitatoa somoUkoroooofiiiii huo! tunaomba recipe hasa uliyotumia kwenye marination.
Nasikia foil paper zinasababisha cancer in a long run.Cha mchana ofisini
View attachment 1994629