Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Mbegu hii ya Bamia ni adimu
Vyapati vimetulia, kwa kweli vinatamanisha.
HakikaVyapati vimetulia, kwa kweli vinatamanisha.
Safi sana.
HahahaWatoto wa mama ntilieView attachment 1997012
Aisee hapo ugali unaenda vizuri sanaSafi sana.
Daah nikipikiwa nyumbani hivi sijui kama nitakuwa nakula hotelini na kwa mama nitilie wadau nawakataa kabisa moja kwa moja nyumbani [emoji1787][emoji1787][emoji39]
View attachment 1987389
Haya maharage ya kijani huwa unayanunua wapi?View attachment 1987693
Hivi ndo viamba upishi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Heavy breakfastView attachment 1988059
Mkuu niaje! Habari za kupoteana?