HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Samaki na Watoto wake, Uchu umenikamata hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samaki na Watoto wake, Uchu umenikamata hapa.
Napenda sana vyakula vya kinyumbani zaidi kama hivi.Wapenzi wa ugali mlenda na dagaa tujuane [emoji14] View attachment 899769
Atari haoSamaki na Watoto wake, Uchu umenikamata hapa.
![]()
Upo vizuri mkuuHela nitakayoiacha nyumbani ni kwa matumizi ya nyumbani tu, hayo mazaga zaga nitakuwa nakununulia mwenyewe!!
Punguza majani ya chai sio mazuri iliwezekana kunywa ya viungo tu dia
Kumbe!Punguza majani ya chai sio mazuri iliwezekana kunywa ya viungo tu dia
Ohh nilijua majani ya chaiKumbe!
Ila hiyo ni kahawa.
Siku hizi napenda kahawa.Ohh nilijua majani ya chai
Umeupiga mwingi sana na juisi juuNimetimiza azma yangu.View attachment 2025373
Sikutaka kachumbari wala ukwajuUmeupiga mwingi sana na juisi juu
Rangi Tatu 😁😁[emoji39][emoji39][emoji39] Wallahi nakuja Mbagala, nipo kwenye daladala! Hivi nishukie wapi? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Umenitamanisha hiyo keki jamani