Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hii shoo ya mtu mmoja?
Matembele, jamani
Tatizo kaka yako hataki kunikubalia nilete barua! [emoji4][emoji4][emoji4]Upo vizuri mkuu
Usijali one day nitakuja kweli, nasubiri nimalize pirika nilizonazo kwanza [emoji1474][emoji1474][emoji1474]Rangi Tatu [emoji16][emoji16]
Unaupiga mwingi binti..
Asante bossNapenda sana Vyakula vyako.
Kama mamaUnaupiga mwingi binti..
Kuku ana kidali kama cha konde boy (tembo)
Hongera naona ugali mkubwa sana! Kwangu tunakula watu wanne huoNdio, shoo ya mdada wa kisukuma