Msombe wa nyanya chungu za kuchoma, limao na pilipili ulishakula?Wewe Mtu Nyanya Chungu unaijulia.
Siku zote Nyanya Chungu inaendana na Bamia.
Sema nimegundua Nyanya Chungu yako unapenda kuimenya.
Hebu siku nyingine ipike na Maganda yake ili upate kitu roho inapenda.
Imekosekana kijani tu hapa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Msombe ndio nini Kiongozi?Msombe wa nyanya chungu za kuchoma, limao na pilipili ulishakula?
Vishomboshombo sijawahi hata siku moja kuvichoka wala kuvikinai, unanitesa.
Hizi ndio Mboga za Ugali.Ugali + Dagaa mixture bamia na nyanya chungu.
Mchicha wa kusteam [emoji11][emoji11][emoji11][emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 794793
Kweli lazy Sunday...[emoji2957]View attachment 2049780
Lazy sunday
Mkate wa kumimina, nibakishie usiumalize