Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Naomba niwe mgeni wako japo kwa muda wa Chakula tu
Jina lakeHii ni mboga halafu ni tibaView attachment 2062995
Ebwaaana eh kimenoga
Huo ugali si tonge tatu tu mtu ushaumaliza
karibu mkuuNaomba niwe mgeni wako japo kwa muda wa Chakula tu
Lizy hiv vidole vyako vilivyojaa jaa ndugu nasaga buja huku [emoji23]#meatballs [emoji847]
View attachment 2053438
Sio mimu huyo.Ndiyo lunch?
Sawasawa baba dietSio mimu huyo.
Ndani ipoje?Nimejaribu tenaView attachment 2063913View attachment 2063914
Leo imechambuka kiasi chake na imeiva maana nilichona na kisu kikatoka vizuri.Ndani ipoje?