Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

A day well spent
IMG_20220101_192647_883.jpg
 
Kile chenye finyango cha baba
Mi nilikua napita nacho spidi na akirudi na ulabu wake anazama kuzima.
Napita tena na sinia zima nazama gheto nafungua sikukuu.😂😂😂
Narudisha sinia tupu pale mkewe aliacha
asbuhi hata haulizi sinia jeupe anajua mzee kala kumbe jamaa karudi kashiba toka kuchepuka nikalamba kila kitu.
Ilikua comedy tamu sana.😁
 
Back
Top Bottom