Ongera.Leo imechambuka kiasi chake na imeiva maana nilichona na kisu kikatoka vizuri.
Nimeimprove kidogo.
Kidogo🙏Ongera
Karibu auntie nimeshakutumia location ushindwe ww tu[emoji23]Nasubiri mwaliko new yia[emoji847]
Hawa ndo wadada wa kuoa hawa.Leo tena
My cake is so yummy today Aloo[emoji847][emoji2960]
Kama sponge..this is what i wanted[emoji173]View attachment 2064921View attachment 2064922
Dah nimepambana sana nilikuwa siwezi kupika ikawa kama sponge...Hawa ndo wadada wa kuoa hawa.
Panya huyo mkuu?NangurukuruView attachment 2054264