Uzi wa vyakula tu

Kile chenye finyango cha baba
Mi nilikua napita nacho spidi na akirudi na ulabu wake anazama kuzima.
Napita tena na sinia zima nazama gheto nafungua sikukuu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Narudisha sinia tupu pale mkewe aliacha
asbuhi hata haulizi sinia jeupe anajua mzee kala kumbe jamaa karudi kashiba toka kuchepuka nikalamba kila kitu.
Ilikua comedy tamu sana.😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…