Wee dada utakuja kudondoka siku barabarani. Hii unakula na kushiba kabisa!??π²π²π²π²
Chakula gan icho aseeeee
Naam NaamWali ndondo
Uzuri ni kwamba wakuniokota mpo πWee dada utakuja kudondoka siku barabarani. Hii unakula na kushiba kabisa!??π²π²π²π²
Wee dawa yako ninayo ngoja nikukatie ticket ya kwenda sauz nikakulishe maburger ya macd na kfc utajaza sahani mwenyewe....pport sii unayo lakini?Uzuri ni kwamba wakuniokota mpo π
July sio mbali ujue πWee dawa yako ninayo ngoja nikukatie ticket ya kwenda sauz nikakulishe maburger ya macd na kfc utajaza sahani mwenyewe....pport sii unayo lakini?
Wala usijali burger tuu na kuku nishindwe mie mzabzab kweli wakati ninahuhakika wakupata company yako. Ila sasa na mie unipikie pilauJuly sio mbali ujue π
Ntakudai hizo π na π mpaka ushangae π
Kiongozi ahsante sana kwa mualiko.
Wewe nae Mdau sio mtu mzuri hata kidogo.
Nyama ya kusaga imemwagiwa rostiChakula gan icho aseeeee