Wee dada utakuja kudondoka siku barabarani. Hii unakula na kushiba kabisa!??😲😲😲😲
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee dada utakuja kudondoka siku barabarani. Hii unakula na kushiba kabisa!??😲😲😲😲
Chakula gan icho aseeeee
Naam NaamWali ndondo
Uzuri ni kwamba wakuniokota mpo 🙂Wee dada utakuja kudondoka siku barabarani. Hii unakula na kushiba kabisa!??😲😲😲😲
Wee dawa yako ninayo ngoja nikukatie ticket ya kwenda sauz nikakulishe maburger ya macd na kfc utajaza sahani mwenyewe....pport sii unayo lakini?Uzuri ni kwamba wakuniokota mpo 🙂
July sio mbali ujue 😏Wee dawa yako ninayo ngoja nikukatie ticket ya kwenda sauz nikakulishe maburger ya macd na kfc utajaza sahani mwenyewe....pport sii unayo lakini?
Wala usijali burger tuu na kuku nishindwe mie mzabzab kweli wakati ninahuhakika wakupata company yako. Ila sasa na mie unipikie pilauJuly sio mbali ujue 😏
Ntakudai hizo 🍔 na 🐔 mpaka ushangae 😁
Kiongozi ahsante sana kwa mualiko.
Wewe nae Mdau sio mtu mzuri hata kidogo.
Nyama ya kusaga imemwagiwa rostiChakula gan icho aseeeee