Uchoyo tu, ila mdogo hata Mgen hashibi [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Ze nguna ime be ngunwad by me, ze pochocho ime be pocholewad bai mi.
Ze msosi izi so switi, bati donti welkam tu it my nduguz, cz ze msosi unanitosha mwenyewe,
Ukweli humuweka mtu huru. [emoji23][emoji1787]View attachment 2156625
Hakuna uchoyo, chakula hakaribishwi mtu, kipo cha kutosha.Uchoyo tu, ila mdogo hata Mgen hashibi [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji119][emoji119][emoji119]Hakuna uchoyo, chakula hakaribishwi mtu, kipo cha kutosha.
Kiuhalisia wakaribishaji woote ni wachoyo, we ukinikuta unanawa unakuja kula.[emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Eti wachoyo.....,mim napenda nile peke yangu labda kama Mzee akiwepo nile naeKiuhalisia wakaribishaji woote ni wachoyo, we ukinikuta unanawa unakuja kula.
Kipindi nipo kwa bimkubwa wangu, nilikuwa natoka na msosi nje ili nipate wa kula nae, nikila pekee yangu nakula kidogo mnoo kulinganisha tukila kuanzia wawili.
Mie kula pekee yangu sipendelei kabisa, nikiwa mwenyewe milo mi3 haipatikani, sasa nina mke ndio kabisa, bila ya mama kiduku hapaliki, nikila mchana basi inaweza ikawa nitolee hiyo mpaka asubuhiiii... Nikifanikiwa kupata kifungua kinywa basi hapo ni mpaka usikuuu ndio kuna uwezekano wa kula tena.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Eti wachoyo.....,mim napenda nile peke yangu labda kama Mzee akiwepo nile nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wew ni mvivu tu kulaMie kula pekee yangu sipendelei kabisa, nikiwa mwenyewe milo mi3 haipatikani, sasa nina mke ndio kabisa, bila ya mama kiduku hapaliki, nikila mchana basi inaweza ikawa nitolee hiyo mpaka asubuhiiii... Nikifanikiwa kupata kifungua kinywa basi hapo ni mpaka usikuuu ndio kuna uwezekano wa kula tena.
Ni kweli, hili sikatai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wew ni mvivu tu kula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli, hili sikatai [emoji23]
Mboga gani hii?Mkuje tuleView attachment 2157130