Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1647633900066.png
 
Kiuhalisia wakaribishaji woote ni wachoyo, we ukinikuta unanawa unakuja kula.

Kipindi nipo kwa bimkubwa wangu, nilikuwa natoka na msosi nje ili nipate wa kula nae, nikila pekee yangu nakula kidogo mnoo kulinganisha tukila kuanzia wawili.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Eti wachoyo.....,mim napenda nile peke yangu labda kama Mzee akiwepo nile nae
 
Mie kula pekee yangu sipendelei kabisa, nikiwa mwenyewe milo mi3 haipatikani, sasa nina mke ndio kabisa, bila ya mama kiduku hapaliki, nikila mchana basi inaweza ikawa nitolee hiyo mpaka asubuhiiii... Nikifanikiwa kupata kifungua kinywa basi hapo ni mpaka usikuuu ndio kuna uwezekano wa kula tena.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wew ni mvivu tu kula
 
Back
Top Bottom