Sijapata kuona kuku mjinga kama huyu, usikute hapa anajiuliza yuko wapi.
Leo nimepika makande yenye mchanganyiko wa maharage, mahindi,njugu,choroko na karanga.ni matamu balaa naweza kukifanya kuwa chakula changu kikuuView attachment 2159685
Mixer ya hatari spati picha akipiga bomu pale yukiraini😁Huu mchanganyko umenishangaza 🤔, hongera mkuu kwa ubunifu 😊
Kabisa,nimekuja kufanya nini?Sijapata kuona kuku mjinga kama huyu, usikute hapa anajiuliza yuko wapi.