Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

giphy.gif
hako kamdudu mshana uliwai kula?
nilikakuta mahali kwenye harusi ya wa syria tumemaliza ikawa msosi kibao umebaki ,e bana na hivyo vinguruwe roast kama vitano hivi tukagawana.unabeba kizima humo ndani ya tumbo wamejaza pilau washenzi wale hahahaa.
wanakatoboa wanajaza pilau humo tumboni wanafunga wanagrill kama hivyo.
sikugusa ila siku ya pili nilikateremsha kwa wana na gambe wee kupasha moto tu walikula sikuona hata mfupa.
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom