babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
hako kamdudu mshana uliwai kula?
Hahahahahako kamdudu mshana uliwai kula?
nilikakuta mahali kwenye harusi ya wa syria tumemaliza ikawa msosi kibao umebaki ,e bana na hivyo vinguruwe roast kama vitano hivi tukagawana.unabeba kizima humo ndani ya tumbo wamejaza pilau washenzi wale hahahaa.
wanakatoboa wanajaza pilau humo tumboni wanafunga wanagrill kama hivyo.
sikugusa ila siku ya pili nilikateremsha kwa wana na gambe wee kupasha moto tu walikula sikuona hata mfupa.
bro hiyo hotsaurce hapo naweza ipata wapi?Makande chakula kikuuView attachment 2166474
Hii me nimeinunua LINDIbro hiyo hotsaurce hapo naweza ipata wapi?
Kuku wa kuzunguka
Hapa hakuna usumbufu wa kuosha vyombo
Mammy lolo mi niachie mkono tu nijirambe chai na hako kamboga nakuachia wewe
Niutume kwa bus gani??😁😁Mammy lolo mi niachie mkono tu nijirambe chai na hako kamboga nakuachia wewe
Qatar airbus mzigo unafika😁🤣🤣🤣Niutume kwa bus gani??😁😁