Leo nimepika makande yenye mchanganyiko wa maharage, mahindi,njugu,choroko na karanga.ni matamu balaa naweza kukifanya kuwa chakula changu kikuuView attachment 2159685
[emoji23][emoji23][emoji23]Safi ila sasa ukijamba hapo huo ushuzi wake utakuwa ushuzi bora wa mwaka!
Haka kembemba mno ukichuna ngozi kunabaki tumufupa tuu..labda kwa supuMshana Jr mboga hii nikuletee mzee? View attachment 2175272