Mkuu nimetulia, kwa upendo tu, huwa nimpikie rafiki uangu kile akipendacho. AfurahieHujatulia wewe! Angalia ulichoandika sasa. Sina shida na weye Amiii!
Mhh!! Rafiki "uangu" ... [emoji709] [emoji709] [emoji709] [emoji709]Mkuu nimetulia, kwa upendo tu, huwa nimpikie rafiki uangu kile akipendacho. Afurahie
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kwanza hapa nilipo nishakula vyangu, pengine ndio maana sikuelewi vizuri babulakibahaMhh!! Rafiki "uangu" ... [emoji709] [emoji709] nilikusudia "rafiki yangu" [emoji709] [emoji709]
[emoji40]Karibu kwangu nikupikie
Nilishafahamu hilo Amii. Polee!! Kesho tenaa! Usiku mwema[emoji13] [emoji13] [emoji13] kwanza hapa nilipo nishakula vyangu, pengine ndio maana sikuelewi vizuri babulakibaha
Ok, tukijaaliwa.[emoji106]Nilishafahamu hilo Amii. Polee!! Kesho tenaa! Usiku mwema
[emoji1] [emoji1]Mme wangu nimechelewa leo kulaaa si unajua nilikuwa na mishe gani leooo.View attachment 724042View attachment 724043
Dah usijali kabisa mumie wanguMme wangu nimechelewa leo kulaaa si unajua nilikuwa na mishe gani leooo.View attachment 724042View attachment 724043
Missy rose nakuuliza kwa mara nyingine tena umeolewa?
We mrembo unakulaje chips kavu?View attachment 724063karibun waungwana ingawa nimechelewaa
Hizo pipi kwa ajili ya kuwavutia wahudumu wasikauke kwenye mezaaaHizo pipi za nini?
Windock[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji108] [emoji108]
Missy rose nakuuliza kwa mara nyingine tena umeolewa?
Nijibu tafadhali maana unaonekana upo vizuri jikoniHaha..