Sijui kwanini vitu vyenye sura mbaya vinakuwa vitamu sanaMambo ya Pemba hayo [emoji12][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2237820
Hakuna shida litafuliwa tuuuMdau utachafua Zulia
🤣🤣🤣🤣 Ata ile nyingine nayo sura mbaya ila tamuuuuSijui kwanini vitu vyenye sura mbaya vinakuwa vitamu sana
[emoji848][emoji12][emoji12][emoji12]Sijui kwanini vitu vyenye sura mbaya vinakuwa vitamu sana
Ddduuuh. [emoji39]Karibieni na vinywaji.......View attachment 2238465View attachment 2238466
pole,mi shabiki wa karanga ila nazianza mapema nikijua ntakula tena badae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nimetafuna karanga..tumbo likajaa
[emoji39][emoji39]
Wali ndondo wa hivi nahisi ninge enjoy sana
Kuna nyingine zina sura nzuri kinyama mkuu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ata ile nyingine nayo sura mbaya ila tamuuuu
Nakubalia na wewe...yaani unataka kuzichum chum tuuKuna nyingine zina sura nzuri kinyama mkuu..
Mh ww hata usisingizie karanga kila siku ulaji wako ndio wa hivi,unatakiwa kufanya diet kabisaaaaaa auntie[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nimetafuna karanga..tumbo likajaa
Kwa Hii ratio watoto wa kike mnayokula