Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Anyway nawapa hi nimepita kidogo kwenye huu uzi kuiba picha huku nazidownload
Zinaenda tumika kwenye conversation flani hivi kwenye WhatsApp chat
Kuna ndege wangu namtega nataka nimvute bandani na anapenda raha anapenda kula huyo