HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Breakfast
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Breakfast
Mbona kidogo Auntie?[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2242651
Hizi chips au viazi vimedumbukizwa kwenye mafuta🤣🤣🤣🤣
Dah mie nachokaga nikiona portion zako...unawezaje jamani
Kaugali ka fasta fasta hapo nimetoka kuswampa Kariakoo Jumamosi nampigia dada nipikie ugali na nyanya chungu na kisamaki cha jana...ukimaliza unashusha na maji bardiiiiiii unafunga kanga unalala [emoji23][emoji23][emoji23]
Full burudani yaani🤣Kaugali ka fasta fasta hapo nimetoka kuswampa Kariakoo Jumamosi nampigia dada nipikie ugali na nyanya chungu na kisamaki cha jana...ukimaliza unashusha na maji bardiiiiiii unafunga kanga unalala [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hizi chips au viazi vimedumbukizwa kwenye mafuta🤣🤣🤣🤣
Hapo nilichelewa kula cha mchana aunt[emoji23]Mbona kidogo Auntie?
Njoo nikuzoeshe uone ilivyo rahisi....😁Dah mie nachokaga nikiona portion zako...unawezaje jamani
Inabidi nije kwa kweli....naja huko pm naomba uache mlango waziNjoo nikuzoeshe uone ilivyo rahisi....😁