Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nilikuwa na haraka ,zikatoka vibaya.Tunakujua wewe Fundi
Zimetoka vizuri, wasiwasi wako
Hapana,Zimetoka vizuri, wasiwasi wako
Nitajitahd Sasa, icho kipengele kinakuwaga kigumu kweliJitahidi tu kukoroga sana.
Blueband na sukari,,inasagika.
Ndiyo,nachanganya Kwa nguvu kama nasonga ugali.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Safii, Asante Kwa elimuuUkitaka kupika chapati nzuri za kusukuma lazima uwe mpole,usiwe na haraka.
Ukifanya haraka haraka lazima utoe chapati ngumu.
Kanda vizuri hadi upate ule ulaini unaoutaka.
Funika,kama dakika 15 hivi...sehemu yenye joto.
Baadaye unaendelea..
Mimi nikishasukuma mara ya kwanza nikatengeneza maduara ya mikunjo,huwa nafunika tena ili zilainike zaidi..
Nikifunua hapo naanza kusukuma sasa Kwa ajili ya kuzipikaa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
hapo ni vitendea Kaz tu labda
Exactlyhapo ni vitendea Kaz tu labda
Mm huwa natengeneza vya kienyeji japo haiw smooth tunaenda ivoivoUnaupiga mwingi shangazi wa Junia.
Mimi nawaza kupika ila Sina vifaa vya kupambia.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nunua oven utaitoa vizuri zaidi
Ngoja nitafute hela..mchawi pesa[emoji2]Nunua oven utaitoa vizuri zaidi
Hongera sana.Mm huwa natengeneza vya kienyeji japo haiw smooth tunaenda ivoivo
Huyu anaweza sana.Waosema kuchoma kaimati ni kaz ona mwenzenu
View attachment 2265772
Ukiona utasema rahisi kweli😂Waosema kuchoma kaimati ni kaz ona mwenzenu
View attachment 2265772
Nikarbshe kwako navyopenda cake
Karibu sana [emoji847]Nikarbshe kwako navyopenda cake