Nyama pori?
Drafti kiboko kabisa lizzy naona umeniwekea nafasi yangu kwenye plate
Unakula kula wali mtoto. Utanenepa.
Ndo nataka kunenepa 🙂Unakula kula wali mtoto. Utanenepa.
Leo umejitahidi 🤣🤣🤣🤣🤣
Dakika 2 tu nakuwa nishamaliza hako kachips.Zege heavy la mkoani kama huwezi kula wallahi unaliacha,View attachment 2326740
Ni nyingi labda sababu nimepiga kwa juu humalizi
Chache sana hiyo.Ni nyingi labda sababu nimepiga kwa juu humalizi