babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Buku jero😄😄😄Zege heavy la mkoani kama huwezi kula wallahi unaliacha,View attachment 2326740
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buku jero😄😄😄Zege heavy la mkoani kama huwezi kula wallahi unaliacha,View attachment 2326740
Yaaah [emoji75]Buku jero[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji39]View attachment 2327549
Ukichoka wali maharage
Ewaaa nishapata menu ya usiku nikitoka kibaruani napita sokoni asee😋😋👆
Njaaaa [emoji39]
connection mkuu wapi hii?Imagine eti apo ni 1k [emoji81] roadtrips raha sana.View attachment 2327546
Njoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezeki[emoji16][emoji81]. Uku mdudu[emoji241] kilo 6k hadi kuondoka nashindwaconnection mkuu wapi hii?
Hili chimbo ntalitafuta mwezi ujao nipo IfakaraNjoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezeki[emoji16][emoji81]. Uku mdudu[emoji241] kilo 6k hadi kuondoka nashindwa
Njoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezeki[emoji16][emoji81]. Uku mdudu[emoji241] kilo 6k hadi kuondoka nashindwa
Zipo ukifika ifakara chukua gari zinaenda sehem inaitwa mlimba then utashukia mbingu ukifika tafuta lodge moja inaitwa BIRO hapo ni 10k per night napia iyo iyo road unayopita inatoboa hadi iringa.Kuna public transport na lodge? Natafuta pa kwenda weekend hii
Ntaondoka kesho jioniZipo ukifika ifakara chukua gari zinaenda sehem inaitwa mlimba then utashukia mbingu ukifika tafuta lodge moja inaitwa BIRO hapo ni 10k per night napia iyo iyo road unayopita inatoboa hadi iringa.
Hapo mbingu kunakuwaga na ndizi sana hapoNjoo sehem moja wanaita mbingu ni moro ndani ndani yani ifakara alafu kwa mbele ila jiandae kunywa maziwa daily maana ni kuna vumbi halielezeki[emoji16][emoji81]. Uku mdudu[emoji241] kilo 6k hadi kuondoka nashindwa
Ndizi 500 mkuu zinakaa 7 [emoji16] kuna nyama choma za kuku hapo za buku buku kama hizi wa kienyejiHapo mbingu kunakuwaga na ndizi sana hapo
Sawa mkuuu enjoyNtaondoka kesho jioni
Nitoboe mpaka Iringa