Hii ya asili kabisa!Hapa vipi
Sent from Ili iweje
Mate yashanitoka[emoji39]
Karibu mkuu..Mate yashanitoka[emoji39]
Aisee naja niifate wapiKaribu mkuu..
Ipo kubwa bado..watu wamekula wamechoka sasa.
Nipo hapa daslama vijijini kwenye vikanyagio vya mji.Aisee naja niifate wapi
Sawa..wasalimie kitundaNipo hapa daslama vijijini kwenye vikanyagio vya mji.
Hii chocolate itakuchosha mapema sana..Vipande vitatu chalii.
Kitunda sijawahi kufika.Sawa..wasalimie kitunda
Inavutia, nlijaribu kujipikilisha juzi ilitoka ina hewa hatari sijui nlikosea wapi.