Uzi wa vyakula tu

Wameanza kuweka lami kwanzia pale luaha hadi karibu na ifakara ila ukishavuka kwenye lile daraja la chuma kuelekea mbingu wanachongewa tu ili vumbi liwapate vizuri kiufupi serikali iwaangalie vizuri wananchi wa kule ni mateso ukipanda gari public inayotoka malinnyi,mlimba,mngeta,mbingu kuja hadi ifakara yani ukakua kama umetoka kumwagiwa vumbi
 
Nitakuja kutembea
 
Nitakuja kutembea
 
Hii birian ya kibabe sana
 
😋😋Hii si basmat!? Hebu nielekeze siku nami nimtolee kitu mama watoto astaajabu.
Ni rahisi mno

Unakaanga kitunguu maji na thomu kidogo mpaka vitie rangi

Unaweka carrot kiasi Kama 3 hiv size ya kati

Unatia curry powder
Unaweka maharage

Kisha unamalizia basmati yako uliyoloweka na chumvi ( uloweke kiasi 10mnts na Chumvi kiasi kisha utaosha vizuri)

Basmati inapenda maji hivyo utaweka mengi kiasi

Unafunikia tayari kuliwa

Note: sipend spices so unaweza kuongezea unavyotaka
 
Muheza na nini?

Mnafanya delivery around kkoo?
 
Ngoja siku nimvurugie vurugie mke wangu.. Maana kupika sijui 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…