Uzi wa vyakula tu

Maziwa ya lita 1, chukua tende za ¼ kilo,
Toa kokwa za tende ibaki ile nyama ya tende 😋 yenyewe, kisha ziloweke kwenye maziwa unaweza kucha kwa muda au ukasaga hapo hapo
Ikikupendeza unaweza weka ndizi 🍌

Unaweza sagia na karanga, korosho, wemgine hadi mihogo.

Binafsi napenda kuweka karanga ama korosho baada ya kuwa nishasaga juice, ndio naweka karanga ama korosho 😋

Umenikumbusha ngoja nikaitoe kwenye friji niigide😂
Mambo ya dumu la lita 5 kukaa mwezo mzima ni wakishua
Sisi wa USWAHILINI MATOLA siku 3 tu, juisi kama maji 😂
Nifundishe na mimi
 
Asante😂
 
Umenikumbusha ngoja nikaitoe kwenye friji niigide[emoji23]
Mambo ya dumu la lita 5 kukaa mwezo mzima ni wakishua
Sisi wa USWAHILINI MATOLA siku 3 tu, juisi kama maji [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…