Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana kiongozi nyumbani kwako kuna ratiba ya msosi kabisa
[emoji1][emoji1][emoji1] nlijua kwioSamaki wa kupaka hao sio vipapatio [emoji3]
Sahihi kabisa,Labda nipate wa kienyeji haya mazezeta siyawezi kabisa [emoji1]
Sio sangara hawa mkuu?
Huu mguu wa mama unaliwa mkuu
Hapana sio Sangara, ila ni Samaki maji baridiSio sangara hawa mkuu?
Ok kuna mahali tunawala sana ila ni wa bahariniHapana sio Sangara, ila ni Samaki maji baridi