Weka na ugali ndo Ina noga aisee[emoji2960]
Mbona andunje wetu show itamahinda anakulaje tambi na mayai....sio kujambiana huko 🤣🤣🤣🤣🤣
We nyau hiyo nilikula mimi [emoji23] alafu nalala peke yangu ebu niache huko.Mbona andunje wetu show itamahinda anakulaje tambi na mayai....sio kujambiana huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ah ok....kumbe unajua kupika pika. Hongera ila punguza winginwa chakula🤣🤣🤣🤣We nyau hiyo nilikula mimi [emoji23] alafu nalala peke yangu ebu niache huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi cake unauza au unapokea oda?[emoji95][emoji95]View attachment 2433060View attachment 2433061View attachment 2433062View attachment 2433063
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hiyo keki kama kitumbua namuuzia nani?[emoji1787]Hizi cake unauza au unapokea oda?
Huyo samaki mbona ana sura mbaya hivyo🤣🤣🤣🤣
[emoji23] mimi napenda kula bwana kupunguza nimeshindwa.Ah ok....kumbe unajua kupika pika. Hongera ila punguza winginwa chakula[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23] mimi nikipika kambale huwa natoa vichwa labda kama kuna wageni. Ila wa kwangu kichwa natoa kinatisha.Huyo samaki mbona ana sura mbaya hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah we acha tu ndugu yangu asubih nilipenda sana kwenda Kupata supu ya sato pale kamanga ferry rast garden Nouma sanaNIMEPAMISI MWANZA KULE UNAKULA VITU NATURAL TOKA ZIWANI
[emoji23][emoji23]Huyo samaki mbona ana sura mbaya hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sii waniuzia mie mzabzab....nipikie mieHiyo keki kama kitumbua namuuzia nani?[emoji1787]
Najifunza za kula nyumbani.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Uje uchukue bureSii waniuzia mie mzabzab....nipikie mie
Sawa ukishabake uniambie nikuje
Hiki ni kitu gani?