Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii combo balaa
Dada karibu usukumani utufundishe kupika maana maakuli yako si mchezo ....barikiwa sana
Hakuna cha ziada😃Dada karibu usukumani utufundishe kupika maana maakuli yako si mchezo ....barikiwa sana
Nimeona niongeze appetite kwa kuweka na yaihii combo balaa
Ukija mwanza utacheka ngoma hiyo unakuta inamchuzi wa kutosha [emoji1787][emoji1787]Hakuna cha ziada[emoji2]
Nimekata mboga carrots na vitunguu pamoja then nikazikaanga kidogo tu.
Wali neweka carrots na hoho.
[emoji38]Ukija mwanza utacheka ngoma hiyo unakuta inamchuzi wa kutosha [emoji1787][emoji1787]
Ugali na supu [emoji2] hii kaliSupu na chapati zilipendwa[emoji39]View attachment 2438991
Cha mzazi hiki