Dah vyote hivyo ukala peke yako[emoji28]Merry Christmas View attachment 2457866View attachment 2457868View attachment 2457869View attachment 2457870View attachment 2457872View attachment 2457873
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nilivyo mchoyo sasa, hata sijakukaribisha[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeanza lini uchoyo jamani mimi sijakuzoea hivyoNilivyo mchoyo sasa, hata sijakukaribisha[emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Inauzwa wapi hii inafaa sana kwenye shamra shamra za mwaka mpyakitu cha supu ya mende
View attachment 566192
ππ upendo tu usihofu
Looh upendo gani huo jamani.hadi nimeogopa khaaa[emoji7][emoji7] upendo tu usihofu
shemegi yetu anafaidi
Naomba kujua amepika me au ke?
Aise nami nioe sasa ...nimechoka kuchemsha kila siku gheto
Wali na njegere ; keNaomba kujua amepika me au ke?
umeongea point bro mie mwenyewe nishachoka kujipikia mwenyewe nataka nitafute pisi moja inayojuwa mapishi niweke ndani.Aise nami nioe sasa ...nimechoka kuchemsha kila siku gheto
Na inayojua sana diniumeongea point bro mie mwenyewe nishachoka kujipikia mwenyewe nataka nitafute pisi moja inayojuwa mapishi niweke ndani.
Siuajiri mpishi tu πAise nami nioe sasa ...nimechoka kuchemsha kila siku gheto
Wapi mkono?! Sijauona siku nyingi π€¦πΎββοΈπ€¦πΎββοΈπ€¦πΎββοΈ
Hii ndo faida ya kuoa mwanamke aliyeelimika.