Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna mama ntilie hapo jirani au kazini.umeongea point bro mie mwenyewe nishachoka kujipikia mwenyewe nataka nitafute pisi moja inayojuwa mapishi niweke ndani.
Naishi single room..huyo mpishi atakaa wapSiuajiri mpishi tu 🙄
Kwenye hiyo hiyo single room.Naishi single room..huyo mpishi atakaa wap
Kuna wanawake wa aina hii siku hizi?Kwenye hiyo hiyo single room.
MSosi wa jiioni...kachumbari nyingi kuliko wali
napenda sana kachumbari mixer avocado
😂😂😋
Eti Mlamba asali..hahahaha[emoji91] 🪑 na[emoji529]View attachment 2462073
Karibu kitimoto mkuu hapa mabanda ya walamba asali Iringa town.Eti Mlamba asali..hahahaha
Karibu kitimoto mkuu hapa mabanda ya walamba asali Iringa town.