HApo umechanganya ni na nn mpendwa
Ni maharage ya kijani na nyanyachunguHApo umechanganya ni na nn mpendwa
Maharage ya kijani ni yapi hyoNi maharage ya kijani na nyanyachungu
Green beansMaharage ya kijani ni yapi hyo
Au unaweza kuita maharage machanga, ni maharage ambayo hayajakomaa bado, yapo sokoni wapaouza mbogambogaMaharage ya kijani ni yapi hyo
Sawa ni mazuri sana nimeshawahi yala sehemu niliyapenda sana yalikua yamechanganywa na njegere ila sikuulizia sanaAu unaweza kuita maharage machanga, ni maharage ambayo hayajakomaa bado, yapo sokoni wapaouza mbogamboga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyapendi kabisa siwezi kula ila napenda kuyapika kwa ajili ya mtoto. Yanapendeza sana ukichanganya na karoti, broccoli na hoho.Sawa ni mazuri sana nimeshawahi yala sehemu niliyapenda sana yalikua yamechanganywa na njegere ila sikuulizia sana