Uzi wa vyakula tu

Nimechukua nyanya chungu nikakata,vitunguu vinne nyanya tatu hoho moja pilipili karoti moja.nikaweka mafuta sufuria nikavitupia koroga baada ya dakika tano nikaweka dagaa waliokaangwa..kaugali dona



Kazi kwenu ku like mabest zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…