Uzi wa vyakula tu

Msaada

Mapafu ya Mbuzi hupikwa?
Kama ndio hupikwaje?

Moyo na Figo za Mbuzi hupikwaje?

Maini ya Mbuzi hupikwaje?

Kuna sehemu kawe huwa nanunua maini ila huwa natupa mapafu, moyo na mengineyo sababu sijui pika
 
Kitunguu kwa wingi kisha roast na mazagazaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…