babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Vyote recipe ni moja tu,nakurudia ngoja nishibeMsaada
Mapafu ya Mbuzi hupikwa?
Kama ndio hupikwaje?
Moyo na Figo za Mbuzi hupikwaje?
Maini ya Mbuzi hupikwaje?
Kuna sehemu kawe huwa nanunua maini ila huwa natupa mapafu, moyo na mengineyo sababu sijui pika
Kwa hali hii mtafute njanuary tu afanye makato ya njaa hapo kwakoS mnajua tuko January [emoji2960]. Kuku n anasaView attachment 2473412
Ndio mkuu Magimbi, tena ya kuchemsha na maji na chumvi tuu ndio nayapenda upate na chai ya rangi asubuhi. Mazuri ya unga yapo mikoa ya njombe, iringa huko.Magimbi?
Magimbi yakiwekwa kitunguu nayo yanakushinda?Ndio mkuu Magimbi, tena ya kuchemsha na maji na chumvi tuu ndio nayapenda upate na chai ya rangi asubuhi. Mazuri ya unga yapo mikoa ya njombe, iringa huko.
Kuna wengine wanaweka nazi hapo sili kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] huo mchuzi ni wa mboga gani au nyanya tu?S mnajua tuko January [emoji2960]. Kuku n anasaView attachment 2473412
Vidude vichungu hiviView attachment 2474070
The Finest
SawaVyote recipe ni moja tu,nakurudia ngoja nishibe
[emoji3][emoji3]mzee umepunja nyanyaNimechukua nyanya chungu nikakata,vitunguu vinne nyanya tatu hoho moja pilipili karoti moja.nikaweka mafuta sufuria nikavitupia koroga baada ya dakika tano nikaweka dagaa waliokaangwa..kaugali donaView attachment 2470820View attachment 2470822
Kazi kwenu ku like mabest zangu
Aisee kama mimi tu.Kwa kweli hiki chakula kimenishinda jamani
Utachelewa sana kuoa ujueLeo nilikuwa naham sana na matembereView attachment 2475186
Utachelewa sana kuoa ujueLeo nilikuwa naham sana na matembereView attachment 2475186
Sijawahi kujaribu kuweka kitunguu, huwa machemsha tuu na chumvi. Ngoja nitajaribu nione.
HayaSijawahi kujaribu kuweka kitunguu, huwa machemsha tuu na chumvi. Ngoja nitajaribu nione.
Sent using Jamii Forums mobile app