Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Msaada

Mapafu ya Mbuzi hupikwa?
Kama ndio hupikwaje?

Moyo na Figo za Mbuzi hupikwaje?

Maini ya Mbuzi hupikwaje?

Kuna sehemu kawe huwa nanunua maini ila huwa natupa mapafu, moyo na mengineyo sababu sijui pika
Vyote recipe ni moja tu,nakurudia ngoja nishibe
 
Buka%20Buka%20Fish_%20Zambian%20food.jpg
 
Back
Top Bottom