Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Boring as fvckHivi maisha bila wali yangekuwaje?View attachment 2502788View attachment 2502789
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boring as fvckHivi maisha bila wali yangekuwaje?View attachment 2502788View attachment 2502789
Walevi hatukuelewi hata kidogoHivi maisha bila wali yangekuwaje?View attachment 2502788View attachment 2502789
Una mguu mzuri mashaallah
Hawa ndio kuku aliwaponda mmakonde naada ya kukutana na makukuJINGA ya dar(broilers)
Mmakonde alienda mjini, aliporudi kwao kwenye stori wakawa wanaongelea kuku, ndipo kwa sifa akawaambia wenzake
"kuku!!! Kuku N'jini huko, kuku unakula paka N'fupa, sio kuku huku anapigana na nyoka na nyoka anakufa, huyo kuku au zimwi" [emoji23]
Mihogo point dodomaLocation wapi ?
[emoji1] mpaka sasa kama mwanaume sielewi niseme asante au nisemeje.
Sema asante