Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

237250876_4010959535693639_2732728311379493757_n.jpg
 
Umesahau pia ana hela.
Lizzy sijawahi kuandika chochote kuhusu wewe ama mapishi yako.
Wakati wote huwa na observe tu.
Pamoja na sifa nyingi za watu wanazokupa humu kuhusu kupika na kula chakula kidgo ila sifa yako moja kubwa inayonipendeza kwako ni USAFI NA MPANGILIO.
Nadiriki kusema wewe ni msafi/nadhifu mno jikoni kwako na nadhani hu msafi kwa jumla na upo unajua kupangilia kila kitu kikakaa mahali pake.

Kila picha yako unayo post natizama utakuwa jiko safi, sahani safi, microwave safi hata nikitizama chini kwenye tiles naona kuna ngaaa.
Unastahili pongezi mnoooo.
Napenda sana mnoo mtu wa hivi.
Siku zote huwa na observe na kufurahi moyoni ila leo nimeamua kukupa sifa zako.

Bila shaka observation hii wamefanya wengine pengine hawajapata muda wa kukusifia tu, ila naamini wote wataungana nami.

Kwa kweli dada Lizzy nakutunuku shahada ya juu ya heshima ya usafi na mpangilio mzuri honoris causa(Phd in sanitation and good arrangement honoris causa)

Hongera Dr. Lizzy phD
 
Back
Top Bottom