ugali laaaiiiiiini hapo kisamvu kimekosa karanga tu[emoji39][emoji39]
ugali laaaiiiiiini hapo kisamvu kimekosa karanga tu[emoji39][emoji39]
Nimekubali cheo changu!!😃😃😃Dr Lizzy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana [emoji23]
Kiongozi hapa umeupiga mwingi.
Hii mixer sio ya kitoto,ukitoka kupiga hii lazima utafute sehemu yenye kiubaridi kidogo upumzike ili ngoma isagike vizuri...