Oven ya gesi mbayaa ya umeme Ndio nzurii hapo umeme sasa kukatikaSema kwa biashara nunua oven ya gas au ya umeme na generator, vinginevyo utakuja pata hasara
KabisaSema kwa biashara nunua oven ya gas au ya umeme na generator, vinginevyo utakuja pata hasara
Siku ukipika,pika chakula cha kutosha.Wapenzi nimekua mvivu kupika nifanyeje??kula mgahawani sipendi najikuta nashinda njaa ushaur plus
Kabisa
Naona huko watu wanahaha
Akamaliza tu kuandaa mchanganyiko,umeme unakata.
Unawasha mkaa chapSijui wanafanyaje jamani inabidi kutengeneza oven ya mkaa ile ya kienyeji
-5I have 30 eggs, I broke ten, I sold five, I cook ten, and I fry ten. How many are remaining?