Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
5 ndo yanabakiaI have 30 eggs, I broke ten, I sold five, I cook ten, and I fry ten. How many are remaining?
Hivi kwanini Tz hatuna kuku wakubwa hivi?
Mm sijawahi tumia oven, na upande wa sukari unaweza punguza ndioKama hupendi sukari nyingi unaweza punguza
Na kwenye oven unaweka moto ngapi kwa dakika ngapi?
Mm sijawahi tumia oven, na upande wa sukari unaweza punguza ndio
Kwanza mazingira ya jiko lako lipoje?Wapenzi nimekua mvivu kupika nifanyeje??kula mgahawani sipendi najikuta nashinda njaa ushaur plus
Maana ooh kila kipimo kiwe Sawa mi sipendi sukari nyingi kwenye cake
Nipe tip za kupika cake lain ilochambuka
Mi huwa natumia hiyo 👆👆Margarine 1/2kg
Unga 1/2kg
Mayai 8-10 inategemea na ukubwa wa mayai
Sukari 1/2kg ila napunguza kama kijiko kimoja
Baking powder 2 vijiko vya chai
Maziwa kidogo (kama vijiko 1-3) ya supu kuifanya keki isiwe kavu
Vanilla kijiko 1 cha chai(kidogo).
Kwa kilo moja nafanya x2 yake, na wakati wa kuweka unga uwa siupigi sana kama mwanzo
Mi huwa natumia hiyo [emoji115][emoji115]
Umefuata vipimo?Yaan nilipika ikawa ugali [emoji23][emoji23] sijui nakosea kukoroga
Ukiangalia youtube rahisi kweli anne kaweza kwa kuangalia tu
Umefuata vipimo?
Ili utoe cake nzuri lazima ufuate vipimo.
Halafu usikate cake kabla haijapoa, Ukifanya hivyo inakuwa ugali .
Ndiyo [emoji16]Mpaka ipoe kabisa iwe ya baridi?
Ndiyo [emoji16]
Jaribu hii, a simple small cake(3/4 kg)Mpaka ipoe kabisa iwe ya baridi?
Hakikisha unafuata yale maelezo ya Jana.Jaman naangaliaga insta waarabu na wazungu wanapika cake jamani uwii
Kwanza mazingira ya jiko lako lipoje?
Unaishi mwenyewe au na mtu ndani?
Unapenda kupika?
Jaribu hii, a simple small cake(3/4 kg)
Zingatia Yale maelezo ya Jana niliyokupa.
Hakikisha hukosei hata moja.
4 eggs
130g prestige
155g flour
1 tsp baking powder
1tsp flavour
1tsp vinegar
Mimi sipendi sukari nyingi,kwahiyo huwa naweka kidogo tu na inakuwa tamu.
80g sugarSawaaaaaa soon naifanyia kazi na nikupa picha
Angalia vipimo kama vilikuwa sahihi pamoja na aina ya ukorogaji wako, wakati wa kukoroga usipende kwenda mbele na kurudi nyuma mara kwa mara kama umeanza kukoroga clockwise jitaidi usibadiriYaan nilipika ikawa ugali [emoji23][emoji23] sijui nakosea kukoroga
Ukiangalia youtube rahisi kweli anne kaweza kwa kuangalia tu