Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Pishi la kiume[emoji3]
20230123_203122.jpg
 
Maana ooh kila kipimo kiwe Sawa mi sipendi sukari nyingi kwenye cake
Nipe tip za kupika cake lain ilochambuka

Margarine 1/2kg
Unga 1/2kg
Mayai 8-10 inategemea na ukubwa wa mayai
Sukari 1/2kg ila napunguza kama kijiko kimoja
Baking powder 2 vijiko vya chai
Maziwa kidogo (kama vijiko 1-3) ya supu kuifanya keki isiwe kavu
Vanilla kijiko 1 cha chai(kidogo).

Kwa kilo moja nafanya x2 yake, na wakati wa kuweka unga uwa siupigi sana kama mwanzo
Mi huwa natumia hiyo 👆👆
 
Mpaka ipoe kabisa iwe ya baridi?
Jaribu hii, a simple small cake(3/4 kg)
Zingatia Yale maelezo ya Jana niliyokupa.
Hakikisha hukosei hata moja.
4 eggs
130g prestige
155g flour
80g sugar
1 tsp baking powder
1tsp flavour
1tsp vinegar


Mimi sipendi sukari nyingi,kwahiyo huwa naweka kidogo tu na inakuwa tamu.
 
Jaman naangaliaga insta waarabu na wazungu wanapika cake jamani uwii
Hakikisha unafuata yale maelezo ya Jana.

Hasa pale mwanzo kwenye kuchanganya siagi na sukari

Pengine ni kwenye unga,
Ukiupiga sana utatoa keki mbaya.

Pengine ni kwenye baking powder.
Ukiweka mwanzoni unaiua nguvu yake.

Haya maelekezo ukienda kinyume lazima uchemke[emoji16]
 
Jaribu hii, a simple small cake(3/4 kg)
Zingatia Yale maelezo ya Jana niliyokupa.
Hakikisha hukosei hata moja.
4 eggs
130g prestige
155g flour
1 tsp baking powder
1tsp flavour
1tsp vinegar


Mimi sipendi sukari nyingi,kwahiyo huwa naweka kidogo tu na inakuwa tamu.

Sawaaaaaa soon naifanyia kazi na nikupa picha
 
Yaan nilipika ikawa ugali [emoji23][emoji23] sijui nakosea kukoroga
Ukiangalia youtube rahisi kweli anne kaweza kwa kuangalia tu
Angalia vipimo kama vilikuwa sahihi pamoja na aina ya ukorogaji wako, wakati wa kukoroga usipende kwenda mbele na kurudi nyuma mara kwa mara kama umeanza kukoroga clockwise jitaidi usibadiri
 
Back
Top Bottom