Inaonekana unapenda sana bamia mboga zako nyingi naona bamia inahusika
Inaonekana unapenda sana bamia mboga zako nyingi naona bamia inahusika
Mdogo wangu hongera sana, umekuwa expert! ππ
Mnatuchanganya majina jamani[emoji2305][emoji2305][emoji2305][emoji2365][emoji2365][emoji2365]
[emoji24][emoji24][emoji24]Siku nyingine usiache kunitag!
Wanaume hatuna mambo mengi[emoji1474][emoji1474][emoji1474]Pishi la kiume.... Jioni ya leoView attachment 2519832
Nimeona tu wine hapoTule kabla ya jua kuzama si ndio? View attachment 2521762View attachment 2521761
Karibu... hili ni jambo langu la kila siku.Nimeona tu wine hapo
Asante, enjoyKaribu... hili ni jambo langu la kila siku.
Hizo ni protein na sio mafuta for what i know.Wakuu wa mapishi kwa bachelor anaepuka vipi milo ya mafutamafuta yaani mapishi yasiyohitaji mafuta maana naona yananipa tabu tu nikila nikishiba mwili unapata hisia.
NB:Mazoezi nafanya kidogo asubuh
Ni nini hicho?
Ngumu sana kumaintain No fapHizo ni protein na sio mafuta for what i know.
Napambana πMdogo wangu hongera sana, umekuwa expert! ππ
Mimi ni mvivu hatari. nina miezi karibu 8 sijafanya hii kitu.
Unakulaje chips na wewe ulikuwa unaninanga kwanini nakula chips[emoji23][emoji23][emoji24]