Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_1248.jpg

IMG_1250.jpg

Before & after
 
Wakuu wa mapishi kwa bachelor anaepuka vipi milo ya mafutamafuta yaani mapishi yasiyohitaji mafuta maana naona yananipa tabu tu nikila nikishiba mwili unapata hisia.

NB:Mazoezi nafanya kidogo asubuh
 
Mdogo wangu hongera sana, umekuwa expert! 😍😍

Mimi ni mvivu hatari. nina miezi karibu 8 sijafanya hii kitu.
Napambana 😊
Nahitaji mazoezi zaidi
 

Attachments

  • IMG-20230214-WA0010.jpg
    IMG-20230214-WA0010.jpg
    50 KB · Views: 14
  • IMG-20230214-WA0008.jpg
    IMG-20230214-WA0008.jpg
    58.2 KB · Views: 9
  • IMG-20230213-WA0133.jpg
    IMG-20230213-WA0133.jpg
    43.9 KB · Views: 14
Back
Top Bottom